Suka na Upendeze Ukiwa Nyumbani
Tunawaleta wataalamu wa kusuka, massage, makeup, kucha, grooming, na dry cleaner mlangoni kwako. Chagua huduma, washa location, kisha mtoa huduma aliye karibu anakufikia.
Huduma Zetu
Chagua huduma unayohitaji leo. Tunashirikiana na wataalamu waliothibitishwa na walio karibu nawe.
Quick Weave
TZS 96,976+Mtoa huduma aliyethibitishwa atafika ulipo kwa muda uliopanga.
Book sasa
Micro Braids
TZS 121,937+Mtoa huduma aliyethibitishwa atafika ulipo kwa muda uliopanga.
Book sasaSneakers deep cleaning
TZS 12,600+Usafishaji wa kina wa sneakers.
Book sasa
Senegalese Twist
TZS 75,581+Mtoa huduma aliyethibitishwa atafika ulipo kwa muda uliopanga.
Book sasaUtaalam Wetu kwa Undani
Tunashirikiana na wataalamu waliothibitishwa ili huduma ziwe safi, rahisi, na zenye uhakika.
Massage
Huduma za kupumzisha mwili na kupunguza uchovu kwa wataalamu waliothibitishwa.
4 hudumaKusuka
Mitindo ya kisasa na asilia, kutoka knotless hadi rasta, kwa usafi na ustadi.
Kucha
Manicure, pedicure, na rangi zinazodumu kwa mwonekano safi wa kila siku.
Kunyoa
Grooming na mitindo ya nywele inayofika pale ulipo kwa muda uliopanga.
10 hudumaMakeup
Makeup kwa sherehe, kazi, picha, na siku maalum bila kuhangaika kwenda salon.
9 hudumaJiunge na Familia ya Glamo
Iwe unatafuta huduma au unataka kutoa huduma, Glamo inakuunganisha na watu sahihi.
Urembo wa Hali ya Juu Unakusubiri
Chagua huduma, thibitisha booking, na furahia ubora wa salon ukiwa nyumbani, ofisini, au popote ulipo.

